Mark 2:17

17 aIsa aliposikia haya akawaambia, “Watu wenye afya hawahitaji tabibu, bali walio wagonjwa. Sikuja kuwaita wenye haki, bali wenye dhambi.”

Isa Aulizwa Kuhusu Kufunga

(Mathayo 9:14-17; Luka 5:33-39)

Copyright information for SwhKC